Mgombea urais wa Tanzania
kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni
katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi jana.
Waziri Mkuu MizengO Pinda akimtambulisha Mgombea Urais wa
chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli mbele ya umati wa watu
waliofurika jioni ya leo kwenye uwanja wa Azimio mjini MPanda mkoani
Katavi wakati wa muendelezo wa kampeni za chama hicho mkoani humo
jana.Chama cha CCM kimezindua kampeni zake jana katika viwanja vya
Jangwani jijini Dar na kuhudhuriwa na maelfu ya wanachama na wakereketwa
wa chama hicho cha CCM
Sehemu ya umati wa watu
waliokuwa wamefurika leo katika uwanja wa Azimio mjini MPanda
wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt Jonh Pombe Magufuli kupitia chama cha CCM,mkoani Katavi.
Wananchi wa kata ya Katumba
wilayani Nsimbo wakiwa wamekusanyika kwa wingi kumsikiliza Dk Magufuli
wakati wa mkutano wa kampeni katika Kata hiyo, wilayani Nsimbo mkoani
Katavi
Waziri Mkuu Pinda akimuelekeza
jambo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt
John Pombe Magufuli alipokwenda kuwahutubia wananchi wa Mpanda mjini
kwenye kutano wa kampeni mkoani Katavi.
Sehemu ya umati wa Wananchi wa
kata ya Mishamo,wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia CCM, Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa
kampeni,wilayani Mpanda mkoani Katavi.








Note: Only a member of this blog may post a comment.