Thursday, August 20, 2015

Anonymous

LOWASSA Funguka Kila Kitu Kuhusu Richmond Mapema, CCM Wanapanga Kukuanika!

Wakati umefika kwa Lowassa kujibu mapigo na kuwaeleza watanzania kila kitu(A-Z) kuhusu Richmond maana kwa mujibu wa gazeti la Uhuru la jana Jumatano tarehe 19/08/2015,CCM wanapanga kutumia kile kinachoitwa "file chafu" la Lowassa kukuchafua hivyo nawe jibu mapigo bila kuficha chochote vinginevyo itaku-cost.

Kichwa kimoja kidogo cha habari katika ukurusa wa mbele kinasomeka, "faili chafu lenye lundo za kashifa kufunguliwa J'pili".
Tukumbuke J'pili ndio CCM nao wanazindua kampeni zao.
Yangu ni hayo tu.
-JF

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.