Thursday, August 20, 2015

Anonymous

Je, Ester BULAYA wa CHADEMA Kupewa Fomu ya Ubunge kwa Mbinde Anaogopwa?! Shuka Nayo Hapa...

Ester Bulaya, mshindi Wa Tatu kura za maoni CDM, Amepitishwa na chama kupeperusha bendera ya chama kama mgombea Wa Ubunge -BUNDA. Alipokwenda kuchukua Form yake msimamizi Wa uchaguzi akamgomea. Kisa .."kwanini uwe wewe badala ya mshindi Wa kwanza".
Mtanange haukuishia hapo, mwenyekiti Wa chama plus mshindi Wa kwanza kwenye kura za maoni wote wakavamia offisi ya msimamizi huyo kushinikiza Ester Bulaya apewe Form, bado msimamizi akagoma kwa madai Yale Yale kwanini wakupe wewe sio yule. Mtifuano ulipozidi akaachia form.

Watanzania hii Tafsiri yake nini? Kiongozi sampuli hii huko mbeleni itakuwaje.. Na wako wengi type hiyo..
Pia ikumbukwe hata CCM nako kuna waliopitishwa na NEC kugombea ubunge lakini hawakua washinidi wa kwanza katika kura za maoni! Mi napita njia tu...
ILA TAFAKARI SANA AISEE..

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.