Sunday, August 2, 2015

Anonymous

KHLOE KARDASHIAN: TUNACHAFULIWA KWA SKENDO HII....

Host wa Kipindi cha The Kardashians, Khloe Kardashian.
New York, Marekani
HOST wa Kipindi cha The Kardashians, Khloe Kardashian ameamua kufungukia skendo ya dawa za kulevya ambayo imeikumba familia yake.

Awali ilidaiwa kuwa, kwenye pati waliyofanya akina Khloe yenye nia ya kuwapongeza Kendall Jenner na Kylie Jenner kwa kuhitimu masomo yao, wapo watu waliovuta madawa ya kulevya.Kufuatia madai hayo,Khloe ameamua kuyakanusha kwa kusema kuwa, wanaoeneza habari hizo wana nia ya kuichafua familia yao.
“Hakuna mtu aliyevuta cocaine kwenye pati yetu,familia yangu si rahisi kama mnavyoichukulia, hayo maneno ni ya uzushi tu,” alisema Khloe.Hata hivyo, watoa ubuyu walidai kuwa kwenye pati hiyo kuna marafiki waliofika eneo hilo wakati f’lani walikaa pembeni na kuvuta unga.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.