Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Segerea Mwisho leo.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda
wake, Mh. Dkt. Makongoro Mahanga, ametangaza rasmi kuihama CCM kutokana
na kutokuwepo demokrasia ya kweli ndani ya CCM.
Amesema anafanya mazungumzo na Edward Lowassa pamoja na CHADEMA ili aweze kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Note: Only a member of this blog may post a comment.