Wednesday, August 19, 2015

Anonymous

Kauli TATA ya LOWASSA Kuhusu BABU SEYA!

Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babu Seya alikata rufaa mahakama kuu ya Tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je, Lowassa hautambui mhimili wa mahakama? Je, ataachia wafungwa wote? Lowassa ataleta mgongano wa kidola?
Chanzo: Raia Tanzania
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.