Wednesday, August 19, 2015

Anonymous

Kauli Hii ya Ridhiwani KIKWETE Yawa Gumzo Mtandaoni! Je, Kuna UKWELI Ndani Yake?! Shuka Nayo Hapa!

Baada ya CCM Kutoa List ya Team Ambayo itahakikisha CCM inashinda Urais 2015 , Mtoto wa Rais Ridhiwani Kikwete Ameandika Meneno haya :
"Sasa kumekucha.... Nikiangalia hiki kikosi naamini kabisa kuna Chama kitamficha mgombea wake ndani ili wengine wafanye yale ya matumizi halali ya Madodoki ya Chuma .... Nani msiniulize. Huu ndiyo mziki wa Magufuli, sidhani kama Mtauweza"
Je Kwa Maoni yako ni Mgombea Yupi Atafichwa Ndani ?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.