Tanzania tunamhitaji Rais
- Mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu,
- Mwenye kuheshimu Haki
- Mwenye Kuheshimu utawala wa Sheria zisizo kandamizi
- Mwenye maono na dira Makini kimaendeleo
- Mwenye falsafa endelevu Kiuchumi na Kimaendeleo
- Mwenye utendaji shirikishi ktk ubunifu na utekelezaji wa sera,mipango,mikakati
- Huruma kwa wasio nacho,na masini,
- Mvumilivu wa misukosuko
- Imara Kimaamuzi
- Mstahimilivu
- Asiye na visasi
- Anaesamehe wanaomkosea,Mkwaza
- Asiye na makuu kimaisha
- Msikivu na aliye tayari kutekeleza matakwa ya wananchi
- Aliye tayari kushauriwa,Kushaurika......


Note: Only a member of this blog may post a comment.