Lowasa sasa hivi anazunguka kuuliza watanzania wana shida gani?
Lowasa maisha yake yote kajiishia kwenye upepo mwanana.Muda wote aliokaa serikalini na kama waziri alikuwa hajui shida za watanzania ni nini.Pamoja na wabunge wa chama tawala na upinzani kulalama bungeni alikuwa hasikii shida za wananchi maeneo yao ni zipi.Nadhani alikuwa akilala bungeni au alikuwa akiwapuuza maana mwenye shibe hamjui mwenye njaa.
Kwa kuwa hajui shida za wananchi ni nini, kwani yeye hana maisha ya shida kajishibia hela alizofisadi sasa ndio anaenda kuzunguka huko na huko kwa kile kinachoitwa kuwauliza wananchi eti wanashida gani?
Alitakiwa achukue fomu akiwa tayari anajua anataka kutatua matatizo yepi ya watanzania.Lakini stahili ya Lowasa inathibitisha wazi kuwa ni msanii.
Mawazo Huru Kutoka Kwa Yehodaya /Jamii Forums

Note: Only a member of this blog may post a comment.