Saturday, August 1, 2015

Anonymous

HekaHeka ya mwanamke aliyemgeuka rafiki yake na kuamua kutembea na mume wa rafiki yake…(Audio)

geaaa
HekaHeka ya leo inatokea maeneo ya Mbeya kutoka kwa mmoja wa wapenzi na wasikilizaji wa Clouds FM aitwaye Pendo…anasema amepitia kwenye vitu vingi baada ya kupata rafiki ambaye walikutana akiwa na shida baada ya mume wake kuwa mgonjwa sana. 

Anasema wakati mume wa huyo rafiki yake akiwa anaumwa walipata mtu ambaye alijitokeza kumsaidia mume wake ikiwa ni pamoja na kumsafirisha kwenda Nigeria kupatiwa matibabu lakini baadaye alifariki. 

Baada ya mume wake kufariki yule rafiki yake akaanza kumpenda mume wa yule dada aliyewasaidia kitu ambacho kilimuumiza sana Pendo. 

Baadaye anasema alikuja kuthibitisha baada ya kukiri ni kweli..lakini kibaya zaidi licha ya kumsamehe aliamua kumtangaza mji mzima na kupanga na wanawake wa mjini kwenda kumfanyia vurugu.
Msikilize hapa…

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.