Thursday, August 6, 2015

Anonymous

Headlines kwenye #StoriKUBWA>>> Lowassa, CCM.. Magufuli, kauli ya Dk. Slaa? Lipumba na CUF? (Audio)

ooo
Uchambuzi wa magazeti umekupita? Magazeti ya August 06 2015 tayari yako mtaani na vichwa vyake vikubwa vya habari, nimekusogezea Uchambuzi wa stori kubwakubwa. 

Dk. Wilbroad Slaa amesema yupo salama na hawezi kuongea kitu chochote kuhusu kujivua uwanachama CHADEMA bali muda ukifika atazungumza ya moyoni… Prof. Ibrahim Lipumba atoa kauli ya utata awaweka njia panda wanachama wa CUF, sintofahamu imezidi kutanda baada ya mkutano wake na waandishi wa habari kuahirishwa. 
Edward Lowassa sasa aipasua CCM Askofu Gwajima aionya UKAWADk. John Magufuli awasha moto… Jeshi la Polisi Simiyu limekamata bangi iliyohifadhiwa kwenye magunia…NEC yakamilisha usajili Dar kwa mfumo wa BVR kwa zaidi ya 100%…Mwenyekiti wa CCM Ngorongoro amehamia CHADEMA kutoka CCM... Siri nzito yaibuka kuhusu matukio ya uvamizi na uporaji silaha vituo vya polisi. 

Wanawake wanaojiuza wamesema hawaogopi polisi kwani nao noi wateja wao… Sauti ya uchambuzi wa stori zote iko hapo chini, nilirekodi #PowerBreakfast @CloudsFM.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.