Kumekuwa
na stori nyingi ambazo zimeandikwa sana Magazetini kuhusu Umoja wa
Vyama vya UKAWA, baada ya Mbunge wa Monduli kukaribishwa CHADEMA na
UKAWA stori nyingine zikaanza kuchukua headlines kuhusu baadhi ya
Viongozi waliopo Vyama vya UKAWA.
August 06 2015 nimeipata taarifa rasmi kutoka kwenye Kikao ambacho Prof. Lipumba amekifanya Dar, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti wa Chama hicho.
Tayari tumeipata taarifa kamili na picha za tukio hilo===>>BONYEZA HAPA!
Tayari tumeipata taarifa kamili na picha za tukio hilo===>>BONYEZA HAPA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.