Friday, August 7, 2015

Anonymous

BONGE LA UBUNIFU! Shuhudia PICHA Hii ya AJABU Aliyozawadiwa Rais KIKWETE na Wasanii Mastaa TZ


Rais Jakaya Kikwete
Muungano wa wasanii Tanzania August 06 walikutana na Rais Jakaya Kikwete pamoja na Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt John Magufuli kwa ajili ya chakula cha usiku pamoja na kuzungumza kuhusu sanaa ya Tanzania.


Rais Jakaya Kikwete pamoja na Dkt.Magufuli.
Hii iliwahusu wasanii wa Filamu na muziki ambao kwa pamoja waliamua kumkabidhi Rais Jakaya Kikwete zawadi ya picha yake ikiwa na majina ya wasanii wote wa Tanzania,picha hiyo niliinasa pia mdau wangu ni hii.

Picha aliyozawadiwa Rais Kikwete yenye majina ya wasanii.
Ukiangalia vizuri picha hii utaona majina ya mastaa wako kadhaa kama Madee,Wema Sepetu,Mwasiti,Young Killer,Vanessa Mdee,Juma Nature,Matonya,Mwana Fa,Barnaba,Mo Music,Damian Soul,Jokate,Afande Sele,Ommy Dimpoz,Yamoto Band na mengine mengi.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.