Friday, July 24, 2015

Anonymous

Kama Wewe ni Mwanandoa, Usome Hapa Uchunguzi wa JB

Kuna mabadiliko makubwa mwanaume anayapata akifika umri wa miaka 40.nazungumzia kupevuka kwa akili,maamuzi yenye hekima,busara ,uvumilivu n.k.katika uchunguzi wangu ndoa nyingi zenye wanaume chini ya umri wa 40 zina misuko suko sana. nawashauri wanawake wawavumilie wanaume hawa kwani baada ya muda wanakuwa bora zaidi....Maoni
Jacob Stephen ‘@jb_jerusalemfilms’ on Instagram

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.