Lori au gari kubwa la mizigo kuwa na
matairi mengi zaidi ya manne au sita ni kawaida, lakini ikitokea gari
ndogo ambayo wengine wanatumia kwa ajili ya matembezi ikiwa na matairi
mengi, duh.. hata muonekano wake ni story !!
Hii ni Land Rover Defender “Flying Huntsman” 6×6, bei yake ni Dola 310,000/= (Kama Tshs. Mil. 650), na zimetengenezwa chache kabisa na kuingizwa sokoni mwaka 2015

Hapa ni ndani, kuko poa kabisa yani !!

Icheki kwa mbele mtu wangu.
Hapa ni ndani, kuko poa kabisa yani !!
Icheki kwa mbele mtu wangu.
Land Rover ni moja ya magari ambayo
yako kwenye headlines kwa muda mrefu zaidi Duniani, gari ngumu na
zinazodumu sana.. ukiiangalia hata hii utajua kabisa kwamba YES jamaa
wameiunda kama gari ya kazi hivi ila bado unaweza kujiachia nayo hata
kwenye kula bata !!

Note: Only a member of this blog may post a comment.