Sunday, August 2, 2015

Anonymous

ANGALIA PICHA YA KWANZA JOHN MNYIKA AKIWA KWENYE KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHADEMA LEO!

John John Mnyika,leo katika kikao cha Secretarieti ya Kamati Kuu amejitokeza ndani ya ukumbi huku akionekana mwenye utulivu wa akili na sura alilakiwa na baadhi ya Wazee.
Baada ya Kikao hiki,sisi kama wadau na wapenzi wa Chadema tunaomba ndugu JJ Mnyika uweze kuongea na waandishi wa habari kuondoa sintofahamu iliyojengeka kwa wananchi na hasa wafuasi na wapenzi wa Chadema

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.