Imelda Mtema
SHEREHE ya kutimiza siku 40 tangu azaliwe mtoto wa msanii nyota wa Bongo
Movies, Salama Salmini ‘Sandra’ aitwaye Khaliam zilikuwa kivutio baada
ya kuhudhuriwa na mastaa na watu mbalimbali ilipofanyika nyumbani kwa
wazazi wa msanii huyo, Tegeta Kibaoni, nje kidogo ya Jiji la Dar es
Salaam.
Baadhi ya wasanii waliohudhuria katika sherehe hiyo alikuwa ni Salome Urassa ‘Thea,’ Halima Yahaya ‘Davina,’ Jennifer Kyaka ‘Odama,’ Sabrina Rupia ‘Cathy,’ Mama Loraa, Herieth Chumila na wengine wengi .

Note: Only a member of this blog may post a comment.