Saturday, August 15, 2015

Anonymous

18 PICHAZ: Kutana na Wasichana 17 waliowahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Cristiano RONALDO...Ajabu Mama wa Mtoto Wake Bado Hajulikani Mpaka Leo!

Vimeandikwa vingi sana kuhusiana na Staa wa soka wa Real Madrid ya Hispania na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo, kuhusu kuishi maisha ya kifahari Ronaldo kaandikwa sana, kuhusu watu kuhoji mama wa mtoto wake mwenye umri wa miaka 5 Cristiano Ronaldo Junior ni yupi, hiyo ilikuwa headlines kila kona kuhusu staa huyo. 

August 14 nakusogezea list ya wasichana ambao Cristian
 Ronaldo amewahi kuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi kwa nyakati tofauti lakini hakuna mama wa mtoto wake hapo kwani bado hajulikani, Ronaldo amewahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na wasichana zaidi ya 20 kwa nyakati tofauti hao ni wale aliowahi kuonekana nao public.
1. Jordana Jardel, 2003

Cristiano Ronaldo
2. Isabel Figueira, 2005
Letizia-Filippi-en-Cristiano-Ronaldo
3. Diana Chavez, 2006
4
4.Merche Romero, 2006
7nm1ef8l2no6l8n1
5.Gemma Atkinson, 2007
Ronaldo-Gemma_AFP_Twitter_DC
6.Karina Bacchi, 2007 
8935a8c8759e45538b4fca102ae2980a
7.Bipasha Basu, 2007
00010073
8.Maria Sharapova, 2007
sharapova--346x212 
9.Nikki Ghazian, 2008
ng1035941
10. Letizia Filippi, 2008
nhung-bong-hong-da-qua-tay-cris-ronaldo-hinh-4
11.Mia Judaken, 2008
t341336 (1)
12. Paris Hilton, 2009
ava-62465 
13. Raffaella Fico, 2009
fico
14.Imogen Thomas, 2010
hqdefault
15.Jasmine Lennard, 2010
jasmine-lennard-cristiano-ronaldo 
16. Kim Kardashian, 2010
kim-kardashian-cristiano-ronaldo
17. Irina Shayk, 2011
irina-shayk-cristiano-ronaldo-marie-claire-11182011-lead-350x300

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.