Saturday, April 4, 2015

Anonymous

Ni Kweli Wema Sepetu Anatamani Kufanya Kama Amber Rose? Soma Alichoandika

HAPA NA PALE: Moja kati ya mastori ya makubwa kabisa kwenye ulimwengu wa ‘Gossip ‘  ni kitendo cha mwanadada Amber Rose kuiambia dunia kuwa penzi lake lipo kwa aliekuwa mpenzi wake Wiz Khalifa haijalishi watu watasemaje kwani Wiz ndio mwanaume anaempa furaha na amani ya moyo wake kitu kinachoashilia huenda wawili hao kwasasa mambo shwaari.
“My ManCrushEveryday you know what it is.... We went wrong somewhere and even if we never ever get back together ( Even tho I pray, dream and hope we do) he will forever be the love of my life. The media doesn't make it easy but fuck them we gotta live for reality and not society. We forever have a bond because we made a beautiful baby from our Love. Through all the ups and downs of our relationship my heart still beats for him every single day. I'm sick of putting on a front like I'm happy without him. I'm not. He makes me happy. He's the only one who can. Regardless of how our lives Turn out in the long run he will always be the skinny tatted up stoner that has my 'heart” Amber aliandika hayo na kubandika picha akidendeka na Wiz kwenye ukurasa wake mtandaoni. 

Wengi wameonyesha kuguswa na maneno hayo akiwemo staa mrembo kutoka Bongo Movies Wema Sepetu ambae kwenye ukurasa wake mtandaoni aliabandika picha ya andiko hilo na kuandika maneno haya
“Baby got Gut ey....!!! Something most of US dont have... Can I get a What!What! 4 Amber... Damn S***....!!!”
Maneno hayo ya Wema yalizua malumbano mtandaoni huku wengine wakisema Wema ameonyesha kutamani na yeye kuwa na wanaume ambaye anampa furaha ya kweli kitu ambacho ameonekana kwa sasa hana, na wengine wakisema kabisa kuwa Wema ameonyesha  kutamani na yeye afanye kile alichokifanya Amber, Kitu kilichopelekea wengi kuanza kumuhusisha wema kuwa anataka kurudi kwa aliekuwa mpenzi wake Diamond kwani wengi walisema  yeye ndio  fyraha ya kweli kwa Madam. 

Yote haya yalisababishwa na Lugha aliyotumia Wema  katika post hii, kwani kila mtu alielewa kwa uelewa wake, nimeamua kulileta hapa jamvini ili wenye uelewa wa kile alicho kiandika Wema atusaidie kutufafanulia.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.