Wednesday, July 8, 2015

Anonymous

VIDEO MBILI: CHRISTIANO RONALDO Apata Dili JAPAN

Nyota wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo ameingia ubia wa kutoa matangazo na kampuni ya kijapani inayotengeneza vifaa vya kufanyia mazoezi pamoja na vifaa vya kupendezesha mwonekano wa uso.
Angalia hapa video hizi mbili za nyota huyo akitangaza ubora na matumizi ya vifaa hivyo hapa 
Cheki video ya pili hapa

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.