Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Friday, July 31, 2015
Anonymous
VIDEO: Kama Ulimiss Alichokiongea TUNDU LISSU Kuhusu Kutokuwepo wakati LOWASSA Anapokelewa CHADEMA
Mbunge Tundu Lissu ambaye pia ni Mwanasheria wa CHADEMA alikutana na ripota Fredy Mwakikato wa TZA (millardayo.com & AyoTV) na kuzungumzia ishu kadhaa ikiwemo ya Lowassa kujiunga na CHADEMA. Tazama hii video hapa chini uone yote aliyoyasema Tundu Lissu.
Note: Only a member of this blog may post a comment.