Alhamdulilah sijambo kiasi na mshukuru MUNGU NINA MALARIA
WADUDU WAWILI na tumbo la chango chamoto nimekiona kwa muda mfupi tu
waungwana wangu mwenye dawa nzuri ya tumbo la chango tusaidiane dah
nimebebwa wallah nguvu zote kwisha asante sana kwa familia yangu na kwa
mume Wangu mtarajiwa @leomysteriotz pia shukran kwa Mikumihospital Mungu awajazekheri ishalah Amin duwa zenu vipenzi vyangu
Riyama Ally on instagram
Riyama Ally on instagram

Note: Only a member of this blog may post a comment.