Monday, July 13, 2015

Anonymous

MSIBA MZITO: Taarifa ya Huzuni Kwa Mashabiki wa Vichekesho…R.I.P!

ojuwang
Muigizaji Benson Wanjau wa Kenya maarufu kama Mzee Ojwang wa vipindi kama Vitimbi, Vioja Mahakamani, Vituko, Kinyonga na vingine vingi afariki dunia jana Usiku akiwa amelazwa hospitali ya taifa ya Kenyatta National Hospital. Mzee Ojwang alikuwa anasumbuliwa na Pneumonia.
ojwang3
Wakenya wengi wameguswa na msiba huu huku baadhi ya watu wamepost ujumbe tofauti kwenye mitandao wa Twitter kuonyesha kuguswa kwa msiba huu wa aliekuwa mchekeshaji mkongwe wa Kenya.
Mzee Ojwang amefariki akiwa na miaka 78.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.