Saturday, July 11, 2015

Anonymous

MAPYA KUTOKA DODOMA MUDA HUU!

Baada ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM, kuingia ukumbini mjini Dodoma mchana huu wakiongozwa na mwenyekiti wake Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, viongozi wenzake, baadhi ya wajumbe wamesikika wakiimba “Tunaimani na Lowassa”.
Endelea kufuatilia habari zetu.

NEW UPDATES:
Katibu Mkuu Itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi CCM, Nape Nnauye amesema kikao cha Halmashauri Kuu CCM kimeahirishwa kwa muda na kitaendelea baadaye leo.

NEW UPDATES
Kikao kinaendelea baada ya kusimamishwa kwa muda 

NEW UPDATES
Polisi mkoani Dodoma wamewatawanya vijana waliokuwa wakiimba kuelekea ofisi za CCM Makao Makuu kuonyesha kutoridhishwa kukatwa kwa jina la Edward Lowassa

NEW UPDATES
Kazi ya upigaji kura inaendelea hivi sasa katika mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC), ambapo majina matatu yatapatikana na kupelekwa katika mkutano mkuu utakaoanza majira ya saa 3:00 usiku. 

NEW UPDATES
Mgombea Urais 2015 wa Zanzibar amepatikana. Ni Mhe. Ali Mohamed Shein. Endelea kufuatilia 

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.