Wananchi wa jiji la Dar es Salaam
wakiwa katika harakati za kutafuta mahitaji kuelekea sikukuu ya
kuhitimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Mzigo ukishushwa tayari kwa kuuzwa.
Msongamano wa magari katikati ya kariakoo jijini Dar es Salaam.
Hapa ni maongezi ya biashara na kununua tuu.
Picha zote na Avila Kakingo,Globu ya Jamii











Note: Only a member of this blog may post a comment.