Akizungumza na Ijumaa Wikienda, mmoja wa mapacha hao, Christina alisema kwa muda mrefu walikuwa kwenye malezi ya watoto wao kwani kila mmoja alifanikiwa kupata mtoto wa kiume waliopishana miezi miwili kwa sasa wamekua ndiyo maana wamerudi rasmi kwenye sanaa na wamekuja na zawadi ya filamu kwa mashabiki wao inayokwenda kwa jina la Dada.
Monday, July 13, 2015
MAPACHA WA SHIJA WAIBUKA!!
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, mmoja wa mapacha hao, Christina alisema kwa muda mrefu walikuwa kwenye malezi ya watoto wao kwani kila mmoja alifanikiwa kupata mtoto wa kiume waliopishana miezi miwili kwa sasa wamekua ndiyo maana wamerudi rasmi kwenye sanaa na wamekuja na zawadi ya filamu kwa mashabiki wao inayokwenda kwa jina la Dada.
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Filed Under:
WASANII
on Monday, July 13, 2015

Note: Only a member of this blog may post a comment.