Wednesday, July 15, 2015

Anonymous

Kambi ya LOWASSA Yameguka!

Sophia Simba: Ameamua kumuunga mkono Dr Magufuli: Msimamo huo umetolewa na Amina Makilagi
Wameandaa hafla ya kumpongeza mgombea mwenza Samia Suluhu

Mh Nchimbi: Yeye alitoa pongezi kwenye ukurasa wake wa facebook, kumuunga mkono Magufuli!
Aliyegoma kumuunga mkono ni Kimbisa ambaye alikuwa kwenye mashauriano na Mh Lowassa.
Kumbe wote hawa walikuwa wachumia! Hii ndio siasa, zubaa uzikwe!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.