STAA wa Hip Hop, Kanye West hivi karibuni amekutana na aibu kubwa jijini London wakati akiwa kwenye tamasha la kuadhimisha Sikukuu ya Glastonbury baada ya kikundi fulani cha mashabiki kunyoosha bendera juu iliyochorwa picha ya mkewe Kim Kardashian akifanya ngono na Ray J.
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari mbalimbali nchini Uingereza na Marekani,Kanye hakupenda kabisa kulizungumzia tukio hilo la aibu.
Ray J aliwahi kuwa mpenzi wa Kim Kardashian kabla hajaolewa na Kanye, mapema tu baada ya mapenzi yao kutumbukia ‘korongoni’ilisambaa ‘tape’iliyowaonesha wawili hao wakifanyangono.

Note: Only a member of this blog may post a comment.