Sunday, July 12, 2015

Anonymous

20 PICHAZ: Hali ilivyokuwa nje ya Ukumbi MPYA wa CCM Dodoma leo...

DSC_3099Jumapili July 12 2015 Historia nyingine imeandikwa kwenye Siasa Tanzania, kutoka Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Dodoma Tanzania tumewafahamu wale ambao wameteuliwa 

Jana na leo imekuwa siku ambayo tumezipokea story nyingi sana toka Dodoma, ninayo mengine leo mtu wangu… Ukumbi mpya wa Dodoma Convertion Centre umewakutanisha Wajumbe wa CCM na yametolewa majibu ya kura kwamba Dk. John Pombe Magufuli ndio Mgombea Urais wa CCM na Samia Hassan Suluhu amekuwa Mgombea Mwenza. 
Kama umeona LIVE ya kwenye TV kilichokuwa kinaendelea ndani ya Ukumbi huo, nimefanikiwa kuzunguka na nje ya Ukumbi huo kuona kila kilichokuwa kinaendelea, ninazo pichaz hapa...
DSC_3095
DSC_3102
Barabara ya kuelekea Ukumbini ilikuwa busy siku nzima.
DSC_3107
DSC_3111
DSC_3116
Watu wa Usalama hawako mbali na Ukumbi.
DSC_3117
DSC_3118
Moja ya Mabasi yaliyobeba Wajumbe toka Mikoani.
DSC_3120
DSC_3121
DSC_3123
.
Dodoma Convention Centre mwonekano wa mbele.
.
Kikosi cha Zimamoto kiko tayari kwa dharura yoyote.
DSC_3155
Nyuma ya Ukumbi wa Dodoma Convention Centre.
DSC_3162
Watu wa Usalama walikuwa na Farasi pia.
DSC_3173
Wajumbe wengine walikuwa nje ya Ukumbi wakiendelea kuimba na kucheza muda wote ambao Kikao kilikuwa kikiendelea ndani.
DSC_3177
DSC_3182
Wapo waliokuwa na bidhaa zao wakiendelea kuuza nje ya Ukumbi.
DSC_3195
Moja ya packing ya magari nje ya Ukumbi.
DSC_3187

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.