Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Sunday, July 12, 2015
Anonymous
HABARI PICHAZ: LOWASSA ATETA NA KATIBU MKUU WA CCM, KINANA!
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na aliyekuwa muomba ridhaa ya CCM kuwania Urais, Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, baada ya kumfuata alikokuwa ameketi wakati wa mkutano huo!
Note: Only a member of this blog may post a comment.