Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Friday, July 31, 2015
Anonymous
10 PICHAZ: UMATI WA WATU WAJITOKEZA KUSHUHUDIA LOWASSA AKICHUKUA FOMU!
Pichani juu ni taswira za umati wa watu
waliojitokeza Makao Makuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Kinondoni jijini Dar es Salaam leo Alhamisi, Julai 30, 2015
kushuhudia tukio la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zamani, Mhe. Edward
Lowassa akichukua fomu za kuwania urais kupitia chama hicho.
Note: Only a member of this blog may post a comment.