Saturday, July 11, 2015

Anonymous

HABARI PICHAZ: Baada Ya Vurugu za Wanafunzi na Wananchi Jana Hatimaye Ujenzi Wa Tuta Wafanyika Bunju Dar!

Hatimaye ile barabara ya Bagamoyo katika lile eneo la Bunju 'A' ambapo Wanafunzi wa shule ya msingi Bunju 'A' waliifunga jana baada ya mwenzao kugongwa gari na kufariki, imewekwa matuta na ujenzi unaendelea kama unavyoona kwenye picha!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.