Thursday, July 30, 2015

Anonymous

10 PICHAZ: CHEKA UVIMBE UPASUKE KWA AFYA...Ajali za kuchekesha, zinazotokea halafu unatamani kujua kama ni kweli na ilikuwaje?




Kuna ajali nyingine kwenye hizi picha unaona kabisa hii inawezekana ilitokea lakini kasoro ajali moja tu basi kugonga Pikipiki alafu basi ndio likaumia wakati pikipiki kama haijaguswa.
Nilikua natembelea mitandao mbalimbali leo nikakutana na hizi wanazoziita ajali zinazochekesha, ajali zenye maswali mengi…. ilikuaje mpaka dereva akapanda nalo juu ya bati? alielizamisha swimming pool je? huyu wa Lori hapa chini na yeye alitisha.. kabinua mzigo na gari zima.








USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.