Thursday, June 25, 2015

Anonymous

VIJIMAMBO: Baba na Mama Cookie Wanauliza…..

Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’ kupitia ukurasa wake mtandaoni, liweka picha hiyo hapo juu akiwa Moses Iyobo ambaye ni mzazi mwezie na kuwauliza hivi mashabiki zake
“Dady na Mom wa 'Kabinti Spesho'Hebu Nambie unahisi Cookie atakuwa kafanana na Nani???kati ya hawa!”

Akaendelea
“Je Wapenz Eti Mnataman Kabint Spesho kapate Rangi kama ya Nani Mama au Baba?”
Hata humu wapo mashabiki wa Aunt, Tafadhari mpeni majibu…
Mzee wa Ubuyu

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.