Thursday, June 18, 2015

Anonymous

VANESSA MDEE alivyoungana na Sudan, Kenya na Congo kwenye hii kolabo!

Msanii wa Sudan Kusini Emmanuel Jal ambaye pia ni mwigizaji, ameungana na baadhi ya Wasanii mastaa kutoka nchi mbalimbali akiwemo Vanessa Mdee wa Tanzania, Juliani wa Kenya na Syssi Mananga wa Kongo kwenye kutengeneza wimbo wa kupinga mauaji ya Tembo kwenye bara la Afrika....

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.