
Juma A.K.A Jux jina lenye mikogo kisanaa jana siku ya kwanza ya mfungo ameendelea na mambo ya kidunia yasiyo mpendeza Mtuma.Ameonekana akifuturu muda wa mchana huku akiwa na mpenzi wake Vanesa Mdee ambaye hakuwa amejisitiri maungo yote yakiwa nje.Jux ambaye anasoma china kwa sasa amerudi nchini siku kadhaa kuhudhuria utoaji wa tunzo za kili.Ambapo watu wamekuwa wakishangaa mwanafunzi gani wa nchini China kila siku yuko bongo.

Note: Only a member of this blog may post a comment.