Thursday, June 4, 2015

Anonymous

PICHAZ: Michelle na Obama, Mugabe, Lowassa na Rais JK, Mandela, Mkapa kwenye pichaz zao za zamani...

#TBT ndio story yenyewe leo kwenye kurasa za watu @Instagram, nikaona nikutafutie na mimi PICHAZ za zamani za baadhi ya watu maarufu nikusogezee mtu wa nguvu!!

Hayati Mzee Nelson Mandela na mama Winnie enzi hizo.

Barack Obama na Michelle wake.. Zamani kabisa hapo kabla hata ya safari ya White House.

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe

Hayati J.K Nyerere na Mzee Mkapa

Rais Kikwete na Mbunge Edward Lowassa

Abdulrahman Kinana na Rais JK

Hayati J. Nyerere

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.