Mshambuliaji
mpya wa klabu ya Manchester United Memphis Depay, anaweza kujiingiza
kwenye malumbano na muimbaji Chris Brown baada ya jana usiku kupost
picha akiwa katika pozi tata na ex girlfriend wa muimbaji huyo,
Karrueche Tran.
Ikumbukwe wiki kadhaa zilizopita mwanamitindo mkongwe Tyson Beckford
aliingia kwenye malumbano na muimbaji Chris Brown baada ya mwanamitindo
huyo kupost picha ya ‘selfie’ akiwa na mwanadada Karrueche Tran.
Chris Brown amekuwa na kasumba ya kugombana na kila mwanaume ambaye
anakuwa na ukaribu na Karrueche, alianza na Drake na kisha Tyson
Beckford.

Note: Only a member of this blog may post a comment.