Thursday, June 18, 2015

Anonymous

MSIBA: Mtangazaji mwingine wa TBC Afariki Leo June 18 2015… #RIP

May 19 2015 kulikuwa na stori ya Msiba wa Mwandishi wa Habari waTBC ambae alifariki Dodoma alikokwenda kikazi wakati Vikao vya Bunge vilipokuwa vinaendelea, leo June 18 2015 imeripotiwa taarifa nyingine ya msiba wa Mtangazaji mwingine wa TBC, Florency Dyauli.

Florency Dyauli
Taarifa ambayo nimeipata MICHUZI BLOG imeandikwa kuwa Marehemu Florency amefariki saa kumi alfajiri Hospitalini Dar alipokuwa akipatiwa matibabu.
#RIP #FlorencyDyauli na Samuel Chamlomo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.