Hekaheka haipitwi na visa vya mtaani, nyingine iliyonaswa ni hii ya mwanamke aliyepelekewa matarumbeta ofisini kisa mume wa mtu!
Kuna mwanamke mmoja amedai kuwa mumewe ana uhusiano na mwanamke mwingine akaamua aipeleke noma kwa mtu ambaye alitoa namba ya simu ya mumewe na kumuunganisha kwa mwanamke mwingine ambaye anamuibia mume wake.
Akaamua kumkodishia watu na matarumbeta na kuamua kwenda kumfanyia vurugu ofisini kwake.
Kisa chote kuanzia mwanzo mpaka mwisho utakisikia kwenye hekaheka hapa….

Note: Only a member of this blog may post a comment.