Imelda Mtema
Mwanamitindo wa Kibongo, Jacqueline
Patrick ameendeleza fani yake ya mitindo akiwa gerezani huko Macau
nchini China na kuwa kivutio kikubwa kwa wafungwa wenzake.
Chanzo hicho kilisema kazi hiyo imeufanya uongozi wa gereza hilo kummwagia sifa.
Jack anatumikia kifungo cha miaka sita baada ya kukutwa na hatia kutokana na kujihusisha na biashara haramu ya madawa za kulevya.

Note: Only a member of this blog may post a comment.