Mayasa Mariwata
MSANII wa
filamu Bongo, Lucy Komba ambaye amehamishia makazi yake nchini Denmark
kwa mumewe, imebainika kuwa kilichomfanya aolewe na mzungu huyo ni
kutokana na kufuata masilahi na siyo mapenzi ya dhati kwa kuwa bado
hayupo tayari kuzaa naye.
Baada ya kupata ubuyu huo, paparazi wetu alimsaka Lucy kwa njia ya simu ambapo alisema anatarajia kuanza kusoma akishamaliza atamzalia mumewe watoto watatu.

Note: Only a member of this blog may post a comment.