Imelda Mtema
PICHA za staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ akiwa katika pozi la kimahaba zimenaswa.
Picha hizo zinazomuonesha akiwa katika ‘mabusu ya kiutuzima’ na mwanaume mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja.
“Kuna kipindi jamaa yangu aliniambia kuwa simu yake imeharibika na ipo kwa fundi, sasa huenda walimfanyia mchezo mbaya,” alijitetea Dayna.

Note: Only a member of this blog may post a comment.