Tuesday, June 30, 2015

Anonymous

DIAMOND PLATINUMZ kutumbuiza kwenye Road to MAMA na wasanii wa Nigeria Ijumaa hii, Lagos!

Diamond Platnumz ambaye yuko nchini Nigeria akifanya media tour ya kuitangaza single yake mpya ‘Nana’, anatarajiwa pia kutumbuiza kwenye show ya MTV Road to MAMA itakayofanyika Ijumaa hii July 3, jijini Lagos.
Road to mama-lagos
Platnumz ataungana na wasanii wa Nigeria akiwemo Iyanya ambaye ameshafanya naye collabo, Yemi Alade, Phyno, Olamide na wengine waliopangwa kutumbuiza katika show hiyo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.