Monday, June 15, 2015

Anonymous

BREAKING NEWS: MSIBA MKUBWA! KIONGOZI MKUU WA WAISLAMU TZ, MUFTI ISSA BIN SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA



Mufti Issa Bin Shaaban Simba enzi za uhai wake.

Mufti Issa Bin Shaaban Simba akiwa na Rais Kikwete.
KIONGOZI Mkuu wa Waislamu nchini Tanzania, Mufti Issa Bin Shaaban Simba amefariki dunia leo asubuhi akiwa Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa.
Marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari pamoja na shinikizo la damu.
Taarifa zaidi kuhusu msiba huu zitawajia hivi punde.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.