Imelda mtema
Mrembo aliyepata jina kupitia Shindano la Maisha Plus, Season Two,
Jacqueline Dustan amefanya kufuru kwenye pati yake ya kuzaliwa
(bethidei) iliyofanyika kwenye Hoteli ya Peacock jijini Dar, wikiendi
iliyopita.
Pati hiyo ilitumbuizwa na bendi ya hoteli hiyo na kilichoifanya ionekane ya kufuru ni pale Jack alipompa shilingi 20,000 kila mgeni mwalikwa kwa ajili ya usafiri wa kurudi nyumbani jambo ambalo halijawahi kufanywa na staa yeyote.

Note: Only a member of this blog may post a comment.