Saturday, May 30, 2015

Anonymous

TOFAUTI NA MATARAJIO YA WENGI: KARRUECHE AMFAGILIA RIHANNA!

Mwanamitindo, Karrueche Tran.
New York Marekani LICHA ya watu wengi kudhani huenda wana bifu kutokana na wote kutoka kimapenzi na staa wa Pop, Christopher Maurice ‘Chris Brown’mwanamitindo, Karrueche Tran amefungua kinywa chake kwa mara ya kwanza na kumfagilia staa mwenzake, Robyn Fenty ‘Rihanna.
Staa wa miondoko ya Pop nchini Marekani, Robyn Fenty ‘Rihanna.
’Karrueche alianika hisia zake kwa kumfagilia Rihanna na kusema kuwa bibie huyo ni mrembo. “Wote tumetembea na bwana mmoja na ndicho kilichokuwa.
Siku zote imeonekana kama ni ushindani na watu wamekuwa wakitufananisha lakini yule ni Rihanna. Ni staa wa Pop na ni mrembo anayefanya muziki mzuri na mimi ni mimi nimekuwa na kufanya kazi kivyangu,” alifunguka Karrueche.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.