Leo umetimia mwaka mmoja tangu aliekuwa staa wa Bongo Movies, Adam Phillips Kumbiana kufariki dunia. Ndugu jamaa na marafiki wakiwemo na baadhi mastaa wa Bongo movies wakiongozwa na mke wa marehemu Kumbiana ametembelea kwenye kaburi la marehemu (makaburi ya Kinondoni) na kufanya sala maalum ya kumuombea marehemu.
Hizi ni baadhi ya picha za tukio zima....

Hizi ni baadhi ya picha za tukio zima....
Rest in peace Kumbiana.
Note: Only a member of this blog may post a comment.