Thursday, May 28, 2015

Anonymous

PICHAZ: Hivi ndio visiwa kumi vyenye mvuto zaidi duniani…Afrika kiko kimoja tu, ni TZ au?!


Nimeona nikusogezee pichaz za hivi visiwa 10 ambavyo viko kwenye list ya vinavyoongoza kwa kuwa na mwonekano mzuri zaidi duniani.. Afrika tunawakilishwa na kimoja, unadhani kitakuwa ni cha TZ?

1. Providenciales – Uturuki

2. Maui – Marekani

3. Roatan – Honduras

4. Santorini – Ugiriki

5. KO TAO – THAILAND

6. Madeira – Ureno


7. Bali – Indonesia

8. Mauritius

9. Bora Bora- French Polynesia

10. Fernando De Noronha- Brazil

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.