Nyeeam Hudson A.K.A Kingnahh mwenye umri wa miaka tisa amekua na uwezo mkubwa wa kujiamini na kuwaelimisha watoto wenzie kuwa na maono ya mbali na kusimamia ndoto zao. Ni raia wa Marekani amekua akifanya vipindi mbalimbali vya redio na tv kuwaimiza wazazi kuwasikliza watoto ili watimize ndoto zao. Juzi msanii P Diddy alionesha kukubali uwezo wa mtoto huyo mwamasishaji.



Note: Only a member of this blog may post a comment.